Hizi disks za HDD (Hard Disk Drive) zinazunguka, hivyo zinafanya kuandika na kusoma data kuchukue muda mrefu kidogo ukizilinganisha na teknolojia mpya ya SSD (Solid State Drive) ambazo hazizunguki.
Kwa matumizi ya kawaida kama unaona HDD inakufaa, poa. Lakini kwa mtu anayetaka fast speeds (kwa mfano mimi on a good day naweza ku transfer zaidi ya terabyte mbili kati ya NAS drives na computers zangu zenye terabytes zaidi ya mia) SSD is the way to go.
1TB me nauza tsg.185,000/= brand new sealed in box.....pia natoa ofa nakuwekea movies 500,series60,mand 60albums pale utakaponunua kwa tsh.195,000/= badala ya tsh.185,000/= call 0689341445
1TB me nauza tsg.185,000/= brand new sealed in box.....pia natoa ofa nakuwekea movies 500,series60,mand 60albums pale utakaponunua kwa tsh.195,000/= badala ya tsh.185,000/= call 0689341445