Train zenye speed

BestOfMyKind

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
1,348
Reaction score
1,466
wakati sisi udenda unatutoka na SGR yetu, haya ndio mambo ambayo dunia imekua ikiyafanya nyuma ya migongo yetu.
Monorail and Maglevs ( treni zisizo na matairi ) speed ya ajabu.
#stopcelebratingmediocrity
 
Duh!!! Jiwe akiiona hii " utasababisha wananchi Tuishi kwenye hali ngumu kitoweo cha nyama kwetu kiwe msamiati " Hatokawia kuchukua hela za wananchi na kuanzisha huu mradi
 
Yah,walitumia mpaka za makaa kabla hawajafika huku.
 
Wabongo tuache Fix ina maana Wewe huoni matairi kwa Pembeni
 
Duh!!! Jiwe akiiona hii " utasababisha wananchi Tuishi kwenye hali ngumu kitoweo cha nyama kwetu kiwe msamiati " Hatokawia kuchukua hela za wananchi na kuanzisha huu mradi
Hii kwa akili yake haiwezi, hii mpaka tuwe na uchumi mkubwa na tuweze kutengeneza sisi wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…