Ni kwamba ukisimama pale kwenye zebra wao wanajua umezuia njia so wanakusubiri pale mbele kwenye mataa wakukamue 30,000Hujaeleweka ndugu embu nyoosha maelezo, kama taa hazijaruhusu unataka upite hivyo hivyo au kosa ni nn ni hilo la kusimama hapo kwenye zebra...
Sasa umeblock zebra alafu wakuache tena hilo ni kosa la dhahiri kabisa, nadhani tuache kulia lia tifuate sheria za barabaraniNi kwamba ukisimama pale kwenye zebra wao wanajua umezuia njia so wanakusubiri pale mbele kwenye mataa wakukamue 30,000
Kweli kabisa ulichoandika kiongozi. Kuna uonevu sana pale.mtoa mada una point lakini huwezi kujieleza
pale vingunguti ni kwamba unapaswa usimame nyuma ya zebra... ukisimama mbele ya zebra hata kama hujaiziba zebra... wanakuchukua na kukupiga faini..
ikatokea taa nyekundu ikawaka huku wewe umeshaipita zebra ukisimama tu kwao ni kosa.. hata kama hujaiziba wala kuikanyaga zebra
sio amezuia zebra amesimama ili kupisha wapita kwa miguu wapite then aendelee na safari ila sasa wale askari wanatafsiri kama amezuia njiaSasa umeblock zebra alafu wakuache tena hilo ni kosa la dhahiri kabisa, nadhani tuache kulia lia tifuate sheria za barabarani
wewe ndiyo hujaelewa ngoja nikutoe ujinga: Umekuta zebra umesimama baada ya gari mbili zilizopo mbele yako kusimama, mara wa mbele anaenda kwa mwendo anaoujua, unavuka zebra mara taa nyekundu zimewaka hivyo kulazimika kusimama baada ya kuvuka zebra halafu trafiki anakuja anakuambia umevunja sheria maana umesimama baada ya zebra: kwa anayejua sheria za barabarani anaelewa kuwa hili jambo halipo ila kwa mbumbumbu wa sheria za barabarani kama wewe tutakeshaHujaeleweka ndugu embu nyoosha maelezo, kama taa hazijaruhusu unataka upite hivyo hivyo au kosa ni nn ni hilo la kusimama hapo kwenye zebra...