Wafanye kwa usahihi na haki sio kulazimisha makosa..besides, mahala pa 50 ukienda mpaka 54,55 ni execusable..Mkuu sasa hutaki traffic wafanye kazi yao?
Huku arusha stand ya mabasi, wache ru,wala traffic hawajuwagi Kuna cha pccb wala cha nani ,Ni kuomba rushwa mtindo mmoja.trafic huku kupangiwa point ya stand ya mabasi Ni deal.Hivini lazima traffic wakae stand za mabasi?mbona abiria akiibiwa pesa,au mizigo, au abiria akilanguliwa nauli mbona hawatusaidii chochote. ?Aisee bila kuwavimbia watakuonea...nimependa ujasiri wako wa kuhoji ushahidi
wako "kikazi" zaidi inasikitisha sana mkuuHuku arusha stand ya mabasi, wache ru,wala traffic hawajuwagi Kuna cha pccb wala cha nani ,Ni kuomba rushwa mtindo mmoja.trafic huku kupangiwa point ya stand ya mabasi Ni deal.Hivini lazima traffic wakae stand za mabasi?mbona abiria akiibiwa pesa,au mizigo, au abiria akilanguliwa nauli mbona hawatusaidii chochote. ?