Mwanza RPC aliyekuwepo kuna wakati marafiki 75% walivaa magwanda ya FFU na FFU walimwagwa barabarani, walianza kuwa waadilifu.Kikosi cha usalama barabarani Arusha kinahitaji marekebisho makubwa sana, juzi wamemuondoa RTO na kumhamishia Dodoma,
Ikumbukwe kwamba hawa maaskari wa chini walikuwa wana fanya kazi kwa maelekezo ya huyo RTO. Sasa wameshaona kama wao ni zaidi ya maaskari wengine. Na ni vigumu kuwabadilisha.
Nashauri wabadilishiwe kazi au wahamishwe kama boss wao ili kujenga kikosi kingine chenye maadili ya utumishi na sio kuondelea kikosi cha mazowea ya kazi.
Nadhani umekosea hebu ongeza 'T' sidhani kama ulikuwa na maana ya marafiki badala ya matrafikiMwanza RPC aliyekuwepo kuna wakati marafiki 75% walivaa magwanda ya FFU na FFU walimwagwa barabarani, walianza kuwa waadilifu.
asante, matrafiki....Nadhani umekosea hebu ongeza 'T' sidhani kama ulikuwa na maana ya marafiki badala ya matrafiki
Kuna mmoja kanikamata leo wind screen ina kakraki kiduchu anataka elfu 5. Nilimwambia sina anadai wapigie ndugu wakutumie kwa mpesa, kwa kuwa nilikuwa namuwahisha mgonjwa ilibidi nitoe note ya elfu 10 tukaanza kutafuta chenji.