Traffic Malisa wa Arusha

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,650
Wana bodi amani iwe mioyoni mwenu.

Yule askari wa barabarani bwana Malisa aliyepata majanga barabarani na kupumzishwa nyumbani kama mwaka hivi akiuguza majeruhi aliyoyapata kutokana na ajali ile amerudi tena mzigoni.

Malisa anajulikana kama kiboko ya "wachepukaji" na wavunja sheria za barabarani.

Kadhalika wrong paking za madreva tax.
Malisa naimani atauendeleza uadilifu wake wa kutumikia jeshi la polisi kitengo cha Traffic police barabarani.
 
Yule wa pale mwenge hajapumzishwa tu.. maana naona kazi imemshinda anadhani wanaoenda ofisini ni watu wa mbezi na tegeta tu.
 
Trafik arusha ni kero kila mita 20 mkono wanasababisha jam.
 
Yule jamaa ni kweli mbabe wa madereva wakorofi, lakini ukorofi ule ni kwa ajili ya kujitengenezea njia kupewa rushwa, na huo ushaidi nnao kwa sababu nimeendesha tax miaka kumi pale mjini, nachukia sana yule jamaa amekusanya sana ele zetu za kijiweni pale miami hotel na pale kwa molely stand ndogo na kwengineko na cha kushangaza anajifanya ni mlokole ( mwambie abishe)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…