tractors

Austin20

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
17
Reaction score
1
kwa wakulima wanaohitaji Tractors za kulimia za kununua au kukodi tuwasiliane PM me
 
Mkuu Austin20, haya matumizi ya MP, sorry, PM inachosha sana. Mantiki ya Uzi wako ni muhimu sana kwa mustakabali wa Nchi hii na kwa Wananchi wenyewe (tafadhali usiniulize Nchi gani kwa kuwa binafsi nasubiri tamko la "Jamhuri ya Tanganyika"). Ungeweka Taarifa zaidi kuhusu suala la hizo Tractors zako hapa hadharani ingesaidia wengi badala ya wachache tu kuku-PM!

Ni ushauri tu, ruksa kupuuza!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…