Pascalzebalozi
Member
- Sep 30, 2015
- 73
- 20
Eka ngp ilo shamba?Wasalaam wakuu,
Naomba kwa wenye uzoefu na kampuni za kukodi tractor, excavators pamoja na vifaa vya kupalilia (weeding machines) anisaidie. Mimi nipo dar es salaam ila shamba liko mkuranga. Aksanteni
bila shaka hajui hitaji lakeExcavator itaharibu shamba kwa kuondoa udongo Bora, Bora uchome moto
Wasalaam wakuu,
Naomba kwa wenye uzoefu na kampuni za kukodi tractor, excavators pamoja na vifaa vya kupalilia (weeding machines) anisaidie. Mimi nipo dar es salaam ila shamba liko mkuranga. Aksanteni
ninalo mkuu ila kunawana walikuwa na yao so nilitaka kujua ka ulipata ama la ili nikuunganishe nao ila kwasasa ni msimu so hawawezi toaunalo tractor ndugu
ninalo mkuu ila kunawana walikuwa na yao so nilitaka kujua ka ulipata ama la ili nikuunganishe nao ila kwasasa ni msimu so hawawezi toa
mkuu unahitaji aina gani ya tractor?Mimi nahitaji kama unao tafadhali niunganishe tu ndugu Ahsante bado nahitaji