K kanjo Member Joined Aug 12, 2016 Posts 10 Reaction score 5 May 31, 2022 #1 Ipo mbeya wilaya ya mbarali, inauzwa na jembe lake 25m.Ipo katika Hali nzuri. Mawasiliano. 0765853672
Ipo mbeya wilaya ya mbarali, inauzwa na jembe lake 25m.Ipo katika Hali nzuri. Mawasiliano. 0765853672
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,862 Reaction score 119,077 May 31, 2022 #2 Naona watu wanapita kimya kimya kwenye huu uzi! Yaani hawana mambo mengi. Ni kupiga tu simu kwa mhusika, na kuangalia namna ya kumaliza biashara.
Naona watu wanapita kimya kimya kwenye huu uzi! Yaani hawana mambo mengi. Ni kupiga tu simu kwa mhusika, na kuangalia namna ya kumaliza biashara.
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 3,492 Reaction score 6,519 May 31, 2022 #3 Tate Mkuu said: Naona watu wanapita kimya kimya kwenye huu uzi! Yaani hawana mambo mengi. Ni kupiga tu simu kwa mhusika, na kuangalia namna ya kumaliza biashara. Click to expand... Inawezekana.
Tate Mkuu said: Naona watu wanapita kimya kimya kwenye huu uzi! Yaani hawana mambo mengi. Ni kupiga tu simu kwa mhusika, na kuangalia namna ya kumaliza biashara. Click to expand... Inawezekana.
S sakapesa Senior Member Joined Feb 19, 2014 Posts 100 Reaction score 54 Jul 18, 2022 #4 New Holland n trekta nzuri sana ukiipenda mtafute fundi aipeleleze na uone utaanzaje kutumia
S sakapesa Senior Member Joined Feb 19, 2014 Posts 100 Reaction score 54 Jul 18, 2022 #5 Wale wadau wa trekta kuna wasap group tukutane tusaidiane ushauri na utatuzi wa haya mambo nicheki 0653 639214
Wale wadau wa trekta kuna wasap group tukutane tusaidiane ushauri na utatuzi wa haya mambo nicheki 0653 639214