Tractor linauzwa bei nafuu

Muwindaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
245
Reaction score
206
Wanabodi na wajasiriamali husika na kichwa hapo juu.

Hii ni tractor aina ya MASSEY FERGUSON.

inauzwa na jembe lake kabisa.

Lipo Dsm, ila biashara inafanyika ukiwa popote.

Bei ni Milioni 23(negotiable).

Kwa maelezo zaidi na ukitaka kuliona au kutumiwa picha zaidi nicheki kwenye namba hii tuzumze zaidi: +255712138156

Au unaweza kuni-PM





 
Hivi Trekta za aina hii zikiwa mpya huwa zinauzwa shilingi ngapi kwani??.
 
Mm nataka hizo fimbo/miti iliyoko hapo kwenye majembe..
Sh ngap..? 😀😀😀
 
ina horse power ngapi na imetengenezwa wapi?
 
Wakuu nichekini kwenye namba hyo kwa maelezo zaidi

Humu threads zinafutwa muda wowote.
 

mkuu bado kipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…