Hello Wajameni,
Kuna kibaka kaniibia Macbook yangu,kama Kuna mtu anaweza kuitrace ikapatikana,basi zawadi nono ipo,watu wa IT wachangamkie ajira hii.Come inbox
Kamaa haukuweka hakuna jinsi ya kuitrack kama uliweka nenda iCloud.com kisha login, kama uliweka I'm sure kutakuwa na emails kutoka apple kwenye email account yako ulipo signup icloud.
Hakuna anayeweza kukutaftia hapa. Fanya hivi. Nenda pale posta mpya kuna ghorofa refu kuna washkaji hapo i think ni forth floor. Ni wabaya sana. Just wape mac address ya hiyo mashine yako akiingia kwenye internet tu kaisha