Mimi nina mauzo ya million 64 kwa mwaka wananambia kodi inabidi ipande kutoka million moja na elf 60 kufikia million mbili na laki mbili, wanasema mauzo ni makubwa
Ukiangalia hiyo Million 64 kwa mwaka ni sawa na wastani wa mauzo 176,000 kwa siku
Nilichojifunza watu wanaokwepa kutoa risiti sio wajinga