E Existentialist JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 554 Reaction score 377 Jan 8, 2013 #1 Jaman naomben msaada wa taarifa kwa wale wanaojua kama zile kazi za TRA zilizokuwa unaomba online kama wameshaita watu kwenye interview!!! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Jaman naomben msaada wa taarifa kwa wale wanaojua kama zile kazi za TRA zilizokuwa unaomba online kama wameshaita watu kwenye interview!!! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
J Juakali2012 Member Joined May 27, 2012 Posts 12 Reaction score 2 Jan 8, 2013 #2 Ungekuwa mchaga ungekuwa umeitwa kwenye usaili.