Mungu akutangulie, nami ninasubiri ya Internal Investigation sijui ni lini kwani wako kimya kweli
Jamani nimepigiwa simu na watu wa TRA kuwa ninatakiwa kwenye interview ya Assistant Information Systems Administrator interview tarehe 04/11/2013 na venue ni University of Dar es salaam main compus lakini kwa bahati mbaya sikuweza kupata muda ambao interview itafanyika maana nimepigiwa simu nikiwa na boss wangu mnoko kwa hiyo kuhoji ilikuwa issue plus wameahidi kunitumia kila kitu kwenye mail leo lakini hawajanitumia,tafadhari kama kuna mtu ambae amepigiwa simu anitaarifu ama kama kuna mtu mwenye email ya maelekezo anisaidie pia nimejaribu kupiga simu iliyonipigia haipokelewi.Usiogope kunisadia maana kama kazi ni yako Mungu amekuandikia hata kama waje watahiniwa 1000000 ni yako tu
Kama upo dsm nakushauri nenda makao makuu ya tra pale posta sio long room,Jamani nimepigiwa simu na watu wa TRA kuwa ninatakiwa kwenye interview ya Assistant Information Systems Administrator interview tarehe 04/11/2013 na venue ni University of Dar es salaam main compus lakini kwa bahati mbaya sikuweza kupata muda ambao interview itafanyika maana nimepigiwa simu nikiwa na boss wangu mnoko kwa hiyo kuhoji ilikuwa issue plus wameahidi kunitumia kila kitu kwenye mail leo lakini hawajanitumia,tafadhari kama kuna mtu ambae amepigiwa simu anitaarifu ama kama kuna mtu mwenye email ya maelekezo anisaidie pia nimejaribu kupiga simu iliyonipigia haipokelewi.Usiogope kunisadia maana kama kazi ni yako Mungu amekuandikia hata kama waje watahiniwa 1000000 ni yako tu
Jamani nimepigiwa simu na watu wa TRA kuwa ninatakiwa kwenye interview ya Assistant Information Systems Administrator interview tarehe 04/11/2013 na venue ni University of Dar es salaam main compus lakini kwa bahati mbaya sikuweza kupata muda ambao interview itafanyika maana nimepigiwa simu nikiwa na boss wangu mnoko kwa hiyo kuhoji ilikuwa issue plus wameahidi kunitumia kila kitu kwenye mail leo lakini hawajanitumia,tafadhari kama kuna mtu ambae amepigiwa simu anitaarifu ama kama kuna mtu mwenye email ya maelekezo anisaidie pia nimejaribu kupiga simu iliyonipigia haipokelewi.Usiogope kunisadia maana kama kazi ni yako Mungu amekuandikia hata kama waje watahiniwa 1000000 ni yako tu
Haina haja ya kupiga kambi wala kwenda makao makuu ya TRA kuulizia maana watakuona kama vile haupo makini kivile unless uende kusema kuwa unauliza kwa ajili ya ndugu yako alieko Namtumbo. Haya tangazo hilo hapo na Mungu akutangulie.
We are pleased to inform you that you have been selected to attend employment interview (written) for the post of ASSISTANT SYSTEMS ADMINISTRATOR which will take place on Monday 4th November, 2013 at UCC HQ - University of Dar es Salaam, Mwalimu Nyerere Campus beginning at 0800 hrs.
Please bring with you this invitation letter, Identification card, Original certificates and Ball pen.
We hope you will respond positively towards this invitation letter.
[TABLE="width: 100"]
[TR]
[TD]Sgnd
J.N.O.K Mziray
For: COMMISSIONER GENERAL
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
asubui saa mbili kamili. Tar 4 nov 2013
samahani ndg nafasi hizo zilitangazwa mwezi gani maana kuna ndugu aliomba lakini yuko shambaa isije akatafutwa na akakosa kupatikana
NDUGU TUSAIDIE KUNA TULIOOMBA NAFASI YA INTERNAL INVESTIGATION, inasemekana na wao watafanya usahili siku hiyo lakini hatujaona tangazo lake, kama unataarifa sahihi tusaidie.
Nafasi hizo zilitangazwa
mwezi wa nne mwaka huu si unajua mambo ya serikali hapo yawezekana
wanataka watu mwakani mwezi wa kwanza