Nashindwa kuamini kuwa NBAA, board inayosimamia maadili, ndiyo ya kwanza kuanza kuyavunja hayo maadili???. Ziko wapi zile FUNDAMENTAL PRINCIPLES; integrity, objectivity, professional competence and due care, confidentiality and professional behavior? Nilikataa maneno ya watu kuwa NBAA ilikuwa ni ya Utoh, lakini kwa mazingira haya ya leakage of paper, rafu za kwenye interview na kuwapa watoto wenu na jamaa zenu nafasi mbalimbali za kazi zinazotokea, niwaweke wapi NBAA yaManeno??? Ikiwa NBAA imepoteza its credibility in the society ina maana gani kuwepo? Ile paper ninajua sijakosa above 90%. SHAME ON U NBAA!!!!!!