Geranimo E K I A JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 3,254 Reaction score 5,392 Oct 25, 2018 #161 sembo said: Gari Lishawaka. Click to expand... Kabisa mkuu hili GHARIKA litamkuta masau bwire siku ya jumapili
sembo said: Gari Lishawaka. Click to expand... Kabisa mkuu hili GHARIKA litamkuta masau bwire siku ya jumapili
Kingkorlar JF-Expert Member Joined Oct 16, 2018 Posts 875 Reaction score 996 Oct 25, 2018 #162 Turnkey said: Mpira hauna historia basi Kaseja angeendelea kudaka Taifa stars ..current form ndio inatakiwa..jamaa toka alivyochukua jiko kawa mvivu.. Click to expand... Unaetaka apewe nafasi ana uwezo mdogo kuwa muelewa... wewe sio kocha
Turnkey said: Mpira hauna historia basi Kaseja angeendelea kudaka Taifa stars ..current form ndio inatakiwa..jamaa toka alivyochukua jiko kawa mvivu.. Click to expand... Unaetaka apewe nafasi ana uwezo mdogo kuwa muelewa... wewe sio kocha
Kingkorlar JF-Expert Member Joined Oct 16, 2018 Posts 875 Reaction score 996 Oct 25, 2018 #163 Turnkey said: Bora kwa kigezo cha clean sheets wakati wapinzani wanafungwa magoli ya offside Click to expand... Tuombe huyo beno apewe game 2 ya lesotho na uganda ili ufurahi...
Turnkey said: Bora kwa kigezo cha clean sheets wakati wapinzani wanafungwa magoli ya offside Click to expand... Tuombe huyo beno apewe game 2 ya lesotho na uganda ili ufurahi...