Rudi kwenye mada toa ushuzi wako hapa.Wewe
Wewe Anael wacha kutishia watu kwani tetemeko lililetwa na KDF? Mbona hatujaona involvement ya JW hapa Kagera lakini ni ukweli mtupu kwamba KDF walifika Kagera kama first responders na KDF watabaki katika nyoyo za wanakagera kwa muda mrefu sana. Nikuulize Anael, hivi JW iliundwa kukaa makambini wakati wa maafa? Angalia US coast guards walivyojituma kwenye hurricane Mathew! Angalia role ya jeshi kule Haiti, angalia role ya jeshi kwenye tetemeko la Italia majuzi! The role of the army during peace times is to take proactive interventions in natural calamities such as landslides, floods, earthquakes, heatwaves, etc etc, usitutishie nyau wewe! Hujui lolote unamtishia mtu kwa kumuita dogo, dogo underwear ya mkeo! Bs
yRudi kwenye mada toa ushuzi wako hapa.
Wewe dogo toa upunga wako hapa. JWTZ ni namba 27 duniani wewe unasemaje?y
Usitishie watu nyau wewe Anael kichwa wazi! wewe ndie ulihama mada, mara unajua kwanini jw ilianzishwa, mara kwani jw ndio ilileta tetemeko halafu unatukana mwenzio kumbe wewe mwenyewe kichwa wazi hujui lolote! Nimeandika hivyo to shake you back to your senses, usihemuke hovyohovyo, fungua ubongo kabla hujafungua domo lako na kukimbilia kwenye keyboard kutishia wenzio! Bs
Wewe dogo toa upunga wako hapa. JWTZ ni namba 27 duniani wewe unasemaje?
Basi endelea kuuza vocha za voda au tigo.Hizo ni takwimu za kayumba skuli, hakunaga hiyo kitu, rudi kafanye utafiti
[emoji15] [emoji205] [emoji205] [emoji205] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Labda 27 kwa kupasua matofali
Basi endelea kuuza vocha za voda au tigo.
Kenya namba moja kwa unyooone na wizi duniani. Jeshi la kenya wamelegea kama mrenda ndio maana wanashangaa kuona wanaume wakipasua tofari.Labda 27 kwa kupasua matofali
Vigezo vipi hivyo si uvitaje!!? Mbona kama hujiamini vile!!!?Annael Kichwa wazi, Kwa kukusaidia tu tembelea site hii ujifunze sio kuropokaropoka kwenye jamvi: www.globalfirepower.com "Countries ranked by military strength 2016", kwa taarifa yako Tanzania ni ya 96, nchi ya 27 ni Spain.
Kuna vigezo zaidi ya 50
Vigezo vipi hivyo si uvitaje!!? Mbona kama hujiamini vile!!!?
Wewe ni mtanzania au wa kuja?Tembelea hiyo site ujionee, usije kusema nimebuni maana inaonyesha wewe ni Zero kabisa, kama huna bundle nipe namba ni kutigo-pesa, maana na huu ukata hamkawii kupiga mizinga!
Wewe ni mtanzania au wa kuja?
Nimekuuliza swali unaleta porojo. Jibu swali nililokuuliza. data ziko kiganjani nani anaziweka? Mbona unakuwa mshamba kiasi hicho?Kweli wewe ni Ana kichwa wazi! Kwani hiyo ndio mada? Ghafla umekuwa uhamiaji! Nilijua kwamba wewe ni mweupe kabisa hautakawia kulia meee! Zama hizi za TEHAMA data ziko kiganjani huwezi mdanganya mtu!
Nimekuuliza swali unaleta porojo. Jibu swali nililokuuliza. data ziko kiganjani nani anaziweka? Mbona unakuwa mshamba kiasi hicho?
Unadhani kama TPDF haitaki kutoa hizo data watazipata wapi?
Usiwe kichwa panzi basi wewe. TPDF ndio wanaotoa data na ndio hao wamekueleza ni namba 27. Sasa wewe unakuja na porojo hapa kuweka bra bra bra. Hebu waulize hao wamepata wapi hizo info?
Basi kojoa ukalale au endelea kuuza vocha za voda na tigo.Shu
Shule ndogo, kichwa kidogo na akili ndogo sana, kaa ulivyo usinipotezee muda! Bs
Kwani nyinyi mipoenda somalia mlipatana na al shabbab wasitumie baadhi ya mbinu hivi unajua vita kweli wewe acheni upumbavu piganeni atutaki kulialia hiyo ni haki yao kupigana wanavyowezakdf wakivua sare ndo itafanya al shabaab wavae sare au?the point is al shabaab hawana sare na wamejichanganya mijini na raia.sio msituni kama mlivyopigana na m23.mbona hao waliokuwa boni forest hawakuonyesha huo ubabe wao walivyofatwa ndio tukajua kweli al shabaab niwanaume.walitoroka bila kurusha bomu ata moja wakakimbia somalia kujichanganya na raia ili wasijulikane
haki....kueka maisha ya civilians at risk ndio haki?Kwani nyinyi mipoenda somalia mlipatana na al shabbab wasitumie baadhi ya mbinu hivi unajua vita kweli wewe acheni upumbavu piganeni atutaki kulialia hiyo ni haki yao kupigana wanavyoweza