punguza hasira hujui wapi nilipo,ndio maana nimeuliza kama ningekuwa najuwa nisingeuliza,kwani hakuna mechi zinazo chezwa mda huo uliotaja? ama hujui mambo ya mpira yalivyo,hata saa mbili asubuhu ama usiku mechi huchezwa,
duu mwana kwanza nikushukuru kwa hii link,pili samahani kwa usumbufu,hii link ni msaada kwa mechi nyingi sana kwangu kutambuwa matokeo ya michezo mbalimbali