S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,289 Reaction score 3,127 Dec 23, 2011 #21 Hiyo Vitz ya kijani, haina mwenyewe, itakuwa imetoka kwenye mawingu ya mvua. Siyawahi ona rangi kama hiyo kwa magari madogo madogo, sijui ni kwa nini.
Hiyo Vitz ya kijani, haina mwenyewe, itakuwa imetoka kwenye mawingu ya mvua. Siyawahi ona rangi kama hiyo kwa magari madogo madogo, sijui ni kwa nini.
ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,248 Reaction score 1,746 Dec 23, 2011 Thread starter #22 sawabho said: Hiyo Vitz ya kijani, haina mwenyewe, itakuwa imetoka kwenye mawingu ya mvua. Siyawahi ona rangi kama hiyo kwa magari madogo madogo, sijui ni kwa nini. Click to expand... Kwa sababu ni rangi y mkosi!! vibajaji vingi hapa mjini ndio vyenye rangi hiyo, ndio mana wanakufa kila kukicha.
sawabho said: Hiyo Vitz ya kijani, haina mwenyewe, itakuwa imetoka kwenye mawingu ya mvua. Siyawahi ona rangi kama hiyo kwa magari madogo madogo, sijui ni kwa nini. Click to expand... Kwa sababu ni rangi y mkosi!! vibajaji vingi hapa mjini ndio vyenye rangi hiyo, ndio mana wanakufa kila kukicha.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,154 Dec 23, 2011 #23 Duh, Kweli hizi mvua balaa!! Hiyo Vitz niliiona ikifurumushwa na mafuriko Tabata matumbi, Ishafika mapaka kigogo!!!
Duh, Kweli hizi mvua balaa!! Hiyo Vitz niliiona ikifurumushwa na mafuriko Tabata matumbi, Ishafika mapaka kigogo!!!
ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,248 Reaction score 1,746 Dec 23, 2011 Thread starter #24 Sir. Burn said: Duh, Kweli hizi mvua balaa!! Hiyo Vitz niliiona ikifurumushwa na mafuriko Tabata matumbi, Ishafika mapaka kigogo!!! Click to expand... Hah! kumbe uliiona. inunue basi mana mnatoka sehemu moja.
Sir. Burn said: Duh, Kweli hizi mvua balaa!! Hiyo Vitz niliiona ikifurumushwa na mafuriko Tabata matumbi, Ishafika mapaka kigogo!!! Click to expand... Hah! kumbe uliiona. inunue basi mana mnatoka sehemu moja.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,154 Dec 23, 2011 #25 Popobawa said: Hah! kumbe uliiona. inunue basi mana mnatoka sehemu moja. Click to expand... Niliiona mkuu wangu, mshiko tu nao umesombwa na maji, nliuweka kwenye kibubu uvunguni kaka!! Ile mvua kama ingeendelea mpaka leo, nina imani ile Vitz isingekomea hapo kwako, ingekua Surrender darajani!!
Popobawa said: Hah! kumbe uliiona. inunue basi mana mnatoka sehemu moja. Click to expand... Niliiona mkuu wangu, mshiko tu nao umesombwa na maji, nliuweka kwenye kibubu uvunguni kaka!! Ile mvua kama ingeendelea mpaka leo, nina imani ile Vitz isingekomea hapo kwako, ingekua Surrender darajani!!
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,950 Reaction score 2,489 Dec 23, 2011 #26 mkuu ichinje mi nitanunua bolt.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,154 Dec 24, 2011 #27 Kufa kufaaba, Hii gari bado ipo? Kama bado ipo, Nahitaji body yake tu, nina uhakika mwenyewe hataijua, Kula laki 7 kwa hiyo body tu
Kufa kufaaba, Hii gari bado ipo? Kama bado ipo, Nahitaji body yake tu, nina uhakika mwenyewe hataijua, Kula laki 7 kwa hiyo body tu
NusuMutu JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 421 Reaction score 87 Dec 24, 2011 #28 kwa mtaji huu wa kuokota magari,piga ua watu hawahai mabondeni