Mkuu JF ni kama pori ujue, sio kila uzi wa zamani ntaweza kuuona na ukizingatia mi mgeni hapa JF ingawa nimekuwa msomaji mzuri tu nikiwa nje kabla sijaamua kujiregister hivi majuzi... Anyways turudi kwenye mada baadhi ya nyuzi nlizozipitia zinazofanana na hii nyingi utaona zilizungumzia tofauti ya gari flani flani specific baina ya toyota ama nissan, mi ukiangalia uzi wangu sijaspecify upande wa toyota ama nissanNi vyema mkawa mnapenda kusoma vya wenzenu sio ubinafsi uliowajaa kutaka watu wasome vyenu na msaidiwe. Humu kuna nyuzi kibao zimeshazungumzia tofauti ya makampuni hayo mawili ya magari.
Asante kwa ushauri mkuu, vipi hizo spea za nissan ni mpaka uagize au zinapatikana tu hapahapa?nissan huwezi fananisha na toyota mkuu.nissan ni gari zuri sana na siku zote kizuri garama.spea zake ni grama lkn sio kwa kiwango cha wauzaji wetu wakibongo.mm nakushauri kamata nissan tuu
Mkuu spea za nissan zipo tele..maduka yapo mengi kwa dar ni mastercard..kisangani etc along msimbazi road.Asante kwa ushauri mkuu, vipi hizo spea za nissan ni mpaka uagize au zinapatikana tu hapahapa?
Hapo mastercard pasikie tu, wao ndio wanafanya watu waziogope nissan, nilienda kununua kifaa jamaa akaniambia laki 270 na kodi kaishapiga hapo hapo.. Nikajidai nakuja ngoja nmalzie vingne, kwenda maduka ya mbele kifaa kile kile 70 elf na risit ya kodi nikapewa imekatwa kabisa ktk hyo 70 elfu..Mkuu spea za nissan zipo tele..maduka yapo mengi kwa dar ni mastercard..kisangani etc along msimbazi road.
Mkuu naomba uni pmEmbu njoeni kwenye ulimwengu wa SUBARU. achana na kasumba ya gharama ya spares.
Hata mwanamke mzuri zaid lazima gharama zake ziwe juu piaa