Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
tukitoa matairi, viti na sight mirrors utanifanyia bei gani?
Ulishawahi kufanyia uzinzi humo kwenye gari?
Bado hajapatikana Bob Rich ,yaani huku JF ni uhuni tuu eti mtu anaulizia kama nimeshafanya huko ndani ya gari sex ,that's not fear .
Hahaha,we acha viroboa
Umenichekesha kweli aisee,maana kuna mshkaji wangu alikuwa na gari,anakuambia nikificha condoms humu hata utafute vipi huioni,aisee na kweli,na kuna wakati aliiuza na condoms zake,nikasema haya,mafundi garage wataziona siku ikipata tatizo kubwa.
byzeway,gari nzuri