K kipuri Senior Member Joined Jan 27, 2012 Posts 155 Reaction score 27 Jul 21, 2012 #1 Wakuu, mwenye gari aina hiyo, nahitaji kwa matumizi binafsi, isiwe mbovu, niko Dsm... Bubget yangu ni tsh. 5,000,000/=
Wakuu, mwenye gari aina hiyo, nahitaji kwa matumizi binafsi, isiwe mbovu, niko Dsm... Bubget yangu ni tsh. 5,000,000/=
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,103 Jul 21, 2012 #2 Ongeza dau
K kipuri Senior Member Joined Jan 27, 2012 Posts 155 Reaction score 27 Jul 21, 2012 Thread starter #3 TIQO said: Ongeza dau Click to expand... niongeze ngapi mkuu!
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,956 Reaction score 6,999 Jul 21, 2012 #4 nenda show room utapata nzuri kwa bei nzuri mkuu, usiwe wa mtumba kiasi hico
K kipuri Senior Member Joined Jan 27, 2012 Posts 155 Reaction score 27 Jul 21, 2012 Thread starter #5 ntamaholo said: nenda show room utapata nzuri kwa bei nzuri mkuu, usiwe wa mtumba kiasi hico Click to expand... asante kwa ushauri mkuu, lakini tuko hapa sababu hatuna uwezo wa kuingia show room, hela zenyewe za kuungaunga, ndio maana tunachukua mitumba
ntamaholo said: nenda show room utapata nzuri kwa bei nzuri mkuu, usiwe wa mtumba kiasi hico Click to expand... asante kwa ushauri mkuu, lakini tuko hapa sababu hatuna uwezo wa kuingia show room, hela zenyewe za kuungaunga, ndio maana tunachukua mitumba
K kipuri Senior Member Joined Jan 27, 2012 Posts 155 Reaction score 27 Jul 22, 2012 Thread starter #6 Jamani, hakuna mdau mwenye hii kitu, I'm serious
alphoncetz JF-Expert Member Joined May 1, 2011 Posts 280 Reaction score 50 Jul 23, 2012 #7 kipuri said: Wakuu, mwenye gari aina hiyo, nahitaji kwa matumizi binafsi, isiwe mbovu, niko Dsm... Bubget yangu ni tsh. 5,000,000/= Click to expand... Kama uko na mil 6 sema nikuunganishe na mshakaji wangu, yeye ni dalali wa magari kinondoni.
kipuri said: Wakuu, mwenye gari aina hiyo, nahitaji kwa matumizi binafsi, isiwe mbovu, niko Dsm... Bubget yangu ni tsh. 5,000,000/= Click to expand... Kama uko na mil 6 sema nikuunganishe na mshakaji wangu, yeye ni dalali wa magari kinondoni.
K kipuri Senior Member Joined Jan 27, 2012 Posts 155 Reaction score 27 Jul 23, 2012 Thread starter #8 alphoncetz said: Kama uko na mil 6 sema nikuunganishe na mshakaji wangu, yeye ni dalali wa magari kinondoni. Click to expand... nipe no. Zake kwa pm mkuu, labda tunaweza kuafikiana
alphoncetz said: Kama uko na mil 6 sema nikuunganishe na mshakaji wangu, yeye ni dalali wa magari kinondoni. Click to expand... nipe no. Zake kwa pm mkuu, labda tunaweza kuafikiana
mkayala JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 555 Reaction score 72 Jul 29, 2012 #9 Mim ninayo ya 2003 toka japan ndio imetoka bandar jana bei mil9,ina sub woofer ndan,DVD player yenye flash na memory card.... 0764 468 469
Mim ninayo ya 2003 toka japan ndio imetoka bandar jana bei mil9,ina sub woofer ndan,DVD player yenye flash na memory card.... 0764 468 469
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,910 Reaction score 9,347 Jul 29, 2012 #10 ntamaholo said: nenda show room utapata nzuri kwa bei nzuri mkuu, usiwe wa mtumba kiasi hico Click to expand... Kwani unadhani ajaenda show room??mpaka kaja hapa na Ml5?....au za show room siyo mitumba?...pesa yako ni ndogo kwa vitz utapata mbovu!
ntamaholo said: nenda show room utapata nzuri kwa bei nzuri mkuu, usiwe wa mtumba kiasi hico Click to expand... Kwani unadhani ajaenda show room??mpaka kaja hapa na Ml5?....au za show room siyo mitumba?...pesa yako ni ndogo kwa vitz utapata mbovu!