Toyota Vitz inauzwa 5.3m

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,943
Reaction score
808
Gari aina ya Toyota Vitz inauzwa Tshs 5.3m, haidaiwi kibali chochote. For serious buyer call or WhatsApp 0713 234224
 

Attachments

  • 1454252730659.jpg
    66.3 KB · Views: 103
  • 1454252753595.jpg
    69.2 KB · Views: 84
  • 1454252781423.jpg
    44.6 KB · Views: 88
  • 1454252804654.jpg
    41.7 KB · Views: 76
Duh! Ngoja waje wenye hela zao. Ila nauhakika hiyo gari utauza mkoani. Hakuna mtu wa Dar atanunua gari no B esp kwa hela hiyo... Mimi nimeshauza vigari vingi vilivyotumika. Na nikiweka Tangazo kama hivi nikongea na mteja kwenye simu kwanza namuuliza ni wa mkoa gani. Akinijibu kuwa ni wa Dar najua tu huyo anafanya window shopping. But akipiga simu mtu wa mkoani, najua huyo ana mean bizness.
 
Chukua milion 2 kama haina shida yoyote, kama vile kuchemsha, ku change gear Kwa shida I mean gear box problem, na kina nguvu? I mean engine problem kama ipo.
 
Madalali waliisha haribu hii biashara sana unawezakuta mwenye nao anataka million 4 dau la kuanzia
 
Nishauza sana vigari hivyo kwa hela hiyohiyo na wateja wangu wakubwa wako hapahapa Dar
 
Chukua milion 2 kama haina shida yoyote, kama vile kuchemsha, ku change gear Kwa shida I mean gear box problem, na kina nguvu? I mean engine problem kama ipo.
Sipendi utani kwenye biashara zangu kama vipi ungepita kimya tuu
 
Imeuzwa, deal closed
 
Mara nyingi wa dares salaam ni middlemen anataka akauze, ndo maana ataulizia vitu vingi sana kuhusu gari ili kuhakikisha ni gari inayouzika kirahisi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…