mkalenda
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 290
- 23
Vipi ulaji wa mafuta,inahimili masafa marefu kama km 1000 kwenda na kurudi llikizo
Hujajibu swali tafadhali...lita 1/km ngapiChezea Vits wewe, cc990 budget tosha ya mafuta
Hujajibu swali tafadhali...lita 1/km ngapi
Shark machine hiyo usiache ukupite, vyuo Ndo vinafungua soon
thnx mkuu bei ya mwisho ni 4.5.. Atakae chukua hili gar atafurah saaana iko poa
==> Hapana...kama ungekubali 3M...niko tayari..ila ukichelewa kuna nyingine ya silver nachukua next week hadi tar 20 kwani ipo Kino..ila mwenyewe kasafiri kidogo...so tht is Maximum i can...!!
Kaichukue tu hii kwa bei hiyi siuz
👋👋👋👋👋👋👋👋.....naona u hv 3 IDs hapa...unajipigia debe....kwaheriiiii