Kama kuna mtu amewahi kuagiza gari toka beforward, naomba aniambie kama hawa jamaa ni genuine kwenye biashara hii. Maana naogopa kuibiwa tena kwenye hii industry ya online business. Binafsi nataka kuagiza tena gari, ila naomba mnishauri kama nikiagiza toka kwa hawa Beforward hawataniingiza tena mkenge. <br />
<br />
Naomba ushauri wenu!!!!!