mpushi JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 280 Reaction score 77 Feb 24, 2014 #1 Wakuu salama, nataka kununua toyota spacio new model, vipi uimara wake, spear zake na bei zake kwa showroom za Tanzania na kuagiza nje mpaka inifikie mkononi. Asanteni
Wakuu salama, nataka kununua toyota spacio new model, vipi uimara wake, spear zake na bei zake kwa showroom za Tanzania na kuagiza nje mpaka inifikie mkononi. Asanteni
dadysean Member Joined Dec 22, 2013 Posts 94 Reaction score 20 Feb 25, 2014 #2 Kampuni ya toyota spear huwa zinaingiliana na magari mengi sana ya toyota, kuhusu uimara wake ni utunzaji wako tu mkuu. Yangu ni hayo
Kampuni ya toyota spear huwa zinaingiliana na magari mengi sana ya toyota, kuhusu uimara wake ni utunzaji wako tu mkuu. Yangu ni hayo
mpushi JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 280 Reaction score 77 Feb 25, 2014 Thread starter #3 Vipi kuhusu price zake mkuu mpaka inifikie mkononi?
Kine3 JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 331 Reaction score 175 Feb 25, 2014 #4 Labda sijaelewa kwani magari yana mkuki? kwa maana ya spear, au vipuri kwa maana ya spare?