Toyota spacio inauzwa

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Ipo katika hali nzuri sana
ni ya mwaka 2000 , millage 76,000 , Air condition. 5 doors, cd player bei 11m
tayari imesajiriwa , imewekewa bima ndogo . ipo Dar . ukitaka kuona na kununua tuwasiliane 0755 099 291 &
0657 14 5555

 
Du kumbe zimefika huko, kwani hiyo bei siwezi kujenga nyumba ya vyumba viwili nikaendelea kutumia bajaji yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…