Nauza toyota spasio ya mwaka 2000 imetembea km 95000. Ipo katika hali nzuri kama mpya! mtanisamehe maana sina sina picha yake. ipo morogoro. bei 7m!!:confused2:
nauza toyota spasio ya mwaka 2000 imetembea km 95000. ipo katika hali nzuri ni nyeupe ipo katika hali nzuri kama mpya! mtanisamehe maana sina sina picha yake. ipo morogoro. bei 7m!!:confused2:
mkuu tatizo ni camera tu sinayo , ningeiweka hapa ila usihofu kwa mnunuzi ni lazima ataitaji kuiona na kama upo morogoro ni kiasi chakuniambia nikuletee ulipo uithaminishe. hauziwi mtu mbuzi kwa gunia hapa.gari ipo swafi kabisa.:A S thumbs_up: