kuna siku karifuata na mnyama gx 110 toka singida dar root za usiku 120-160km /hrs sijui alivyofika kama hakubadili engine.
kwa sababu kuna magari ukifuata speed ukimaliza safari lazima ubadili na engine kabisa. otherwise kipo vizuri kigari kina kimbia pia kwaa sisi tunaopenda mambio.