Nahitaji gari tajwa hapo juu iwe katika hali nzuri na Muuzaji akiwa mmiliki itakua jambo zuri zaid.isiwe repainted.isiwe rangi nyeupe wala nyekundu, offer ni 7M.
Nawasilisha.
Hiyo comment yangu ni kuna ujumbe mahususi nilitaka kukufikishia, kama hukuweza kuuelewa jua kuwa huna akili.Mimi similiki gari wala sina hata baiskeli ya mbao.