Toyota rav4 for sale

Toyota rav4 for sale

Baby M

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2012
Posts
1,037
Reaction score
415
TOYOTA RAV4 FOR SALE;

SPECIFICATIONS:
YEAR: 2007
MILLAGE:90,000
MODEL: ACA30R-AWPGKW
LOCATION: ARUSHA-NJIRO
TRANSMISSION: AUTOMATIC
With comprehensive insurance till December 2014

FOR MORE INFO.PLEASE CALL +255-764-905-009

YOU ARE ALL WELCOME
 
Attachments

  • RAV 4-1.jpg
    RAV 4-1.jpg
    18.3 KB · Views: 334
  • RAV4 1.jpg
    RAV4 1.jpg
    19.5 KB · Views: 304
  • RAV4-3.jpg
    RAV4-3.jpg
    30 KB · Views: 285
bei?...................................
 
Kama ni Arusha.........!kenya.....horiri....
Fake document ndo huwa nasikiaga hivyo eti.
 
Kama ni Arusha.........!kenya.....horiri....
Fake document ndo huwa nasikiaga hivyo eti.

Mkuu sijakuelewa, unavyosema fake documents holili unamaanisha nn?
 
Mkuu sijakuelewa, unavyosema fake documents holili unamaanisha nn?

Nilishauriwa nisije kuthubutu kununua gari arusha au moshi gari nyingi ni magumashi zimepigwa kenya zinaletwa huku kwetu kupitia magumashi na nishawahi thibitisha hilo ndg yangu ana gari kali arusha lakini halijawahi kutoka nje ya arusha aisee tuwe makini na hilo
 
Logic yake nini hasa kwamba halijawahi kutoka nje ya Arusha?
Kama mtu anaishi Arusha unataka awe analipaki Mwanza au Dar?
Naomba kueleweshwa kidogo humo nilimo bold
 
Back
Top Bottom