Toyota Rav-4 inauzwa

Mdau gari iko vizuri sana, bei yako fair. Basi tu Sina hela. Kila la kheri.
 

na hata usipobadili jina likitokea hanga hutolipwa wewe uliyenunua, bali lazima malipo yafanyike kwa mwenye jina la kadi. sasa ikitokea ukampata bushloya lazima akili ikae sawa sawa.
 
Vipi Ukimchukua aliekuuzia ukampeleka Bima akusaidie ku-claim??
 
Kadi inasoma jina gani? Ya Mmiliki Mmiliki mpya
Sio kila anaenunua Gari hua anabadili Umiliki hapo hapo,
Pengine Umiliki bado uko ule wa awali na gari ikapata ajali
 
Sio kila anaenunua Gari hua anabadili Umiliki hapo hapo,
Pengine Umiliki bado uko ule wa awali na gari ikapata ajali
Kubadili umiliki ni Bei ndogo tu.ni vema kubadili umiliki
 
Nashukuru kwa kumpa somo nafikiri ameshaelewa
 
Hapo huwa kuna kitu kinaitwa cover note kama sijakosea iwapo umiliki wa gari utabadilika,ukibadili unapelek kwenye bima husika hyo cover note wanabadili pia umiliki wa bima.
 
Vipi Ukimchukua aliekuuzia ukampeleka Bima akusaidie ku-claim??
Hiyo sawa na wengi wanaopata Hayo majanga hufanya hivyo ila swali la kujiuliza, Huyo anayekuuzia mnafahamiana kwa karibu sana kiasi cha wewe kumwamini apokee hela kutoka insurer kwa niaba yako? (Kama gari likiwa written off). Mwingine anaweza kuwa kasafiri au kapoteza mawasiliano au mwingine Hataki tu. Ndio maana ili kuwa salama na kufuata taratibu unatakiwa kukata upya bima kwa ajili yako.
 
mnaharibu biashara ya watu, vema mkafungua Uzi mwingine wa masuala ya bima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…