Toyota Rav-4 inauzwa

10 kamili boss serious buyer if all taxes fully paid. Nijibu tafadhali
 
Gari inaonekana ipo poa ila vyuma vimeshika kweli.....ngoja nipambane kwanza
 
TOYOTA RAV-4
YEAR 2002
ENGINE: VVTI
CC :1790
BEI: MIL 13.5
MAWASILIANO:0717760515
Ongezea Nyama aisee,
Odometre,
Bima kubwa au Ndogo,
Expire date ya Bima,
Gari iko Mkoa gani,
 
Inaisha lini??
Ngoja nikupe somo fupi la bima, ni faida kwako na wenzako. Gari unaponunua, bima inakuwa mwenye gari kama inavyoonyesha kwenye kadi ya gari. Hivyo basi, unaponunua gari kutoka kwa XXX na kwenda kubadilisha jina kwenye kadi ya gari kutoka XXX kwenda YYY (Jina lako), inabidi pia ukatie bima mpya gari lako kwani bima iliyopo ni ya XXX. Siku Ukipata majanga, ukipeleka claim insurer, yeye atakuruka na kusema ingawa gari ni lile lile ila mwenye bima ni XXX sio wewe wa YYY. Tuwe makini. Usiku mwema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…