J jonas2011 JF-Expert Member Joined Jan 25, 2011 Posts 321 Reaction score 129 Jun 16, 2014 #1 Ina cc 1490,millage 139000,mwaka 1997 iko katika hari nzuri sana. Nauza ili kubadilisha gali. Karibu.
Ina cc 1490,millage 139000,mwaka 1997 iko katika hari nzuri sana. Nauza ili kubadilisha gali. Karibu.
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Jun 16, 2014 #2 Picha iko wapi?
J Jibaba Bonge JF-Expert Member Joined May 6, 2008 Posts 1,246 Reaction score 404 Jun 16, 2014 #3 jonas2011 said: Ina cc 1490,millage 139000,mwaka 1997 iko katika hari nzuri sana. Nauza ili kubadilisha gali. Karibu. Click to expand... [h=2]"Toyota raum inaizwa 6000000m"!!!! hii ni fedha ya nchi gani? Ni dola ya Zimbabwe au shilingi ya Tanzania?[/h]
jonas2011 said: Ina cc 1490,millage 139000,mwaka 1997 iko katika hari nzuri sana. Nauza ili kubadilisha gali. Karibu. Click to expand... [h=2]"Toyota raum inaizwa 6000000m"!!!! hii ni fedha ya nchi gani? Ni dola ya Zimbabwe au shilingi ya Tanzania?[/h]
K KAKAO Member Joined Nov 14, 2013 Posts 61 Reaction score 10 Jun 16, 2014 #4 Jibaba Bonge said: [h=2]"Toyota raum inaizwa 6000000m"!!!! hii ni fedha ya nchi gani? Ni dola ya Zimbabwe au shilingi ya Tanzania?[/h] Click to expand... namba ya gari ya usajili,imeingia nchini mwaka gani??picha muhm saana maana hata mimi nahitaji saana raum.
Jibaba Bonge said: [h=2]"Toyota raum inaizwa 6000000m"!!!! hii ni fedha ya nchi gani? Ni dola ya Zimbabwe au shilingi ya Tanzania?[/h] Click to expand... namba ya gari ya usajili,imeingia nchini mwaka gani??picha muhm saana maana hata mimi nahitaji saana raum.