Toyota raum - for sale

Nina 4.5 twaweza fanya biashara?
 
Hahahahaha! Afu wewe bana!

Ngoja nikupigie simu tufanye biashara arifu, vipi buti yake inafunguka?

Whiskey, Vodka, Beer, Cigarettes, Women, Money etc, etc... are a man's worst enemies, and the man who runs away from his enemies is a COWARD.

Acha udaku wewe...
 
Acha udaku wewe...
Hahahaha On serious note with serious non udaku, waweza isukuma hiyo mkoko kwa instalment? Yani kama vire mtu anakutupiamo 4m afu baada ya kama miezi tatu hivi akakumaliziamo kilichosalia. Kuna mzembe hapa naona kama ana mpango wa kuimendea.... Watu kwa kupend miteremko bana! Khaaa!
 
Huu wa kwako si ndio mtiririko kabisa... Nitwangie tuzoze basi
 
Huu wa kwako si ndio mtiririko kabisa... Nitwangie tuzoze basi
Ntakutwangia baadaye, hapa kuna mkoloni ana roho mbaya kama kiatu cha Mugabe...... Mwisho wa kupiga simu saa ngapi? Wengine hatupendi kuvunja ndoa za watu.
 
Ntakutwangia baadaye, hapa kuna mkoloni ana roho mbaya kama kiatu cha Mugabe...... Mwisho wa kupiga simu saa ngapi? Wengine hatupendi kuvunja ndoa za watu.

Muda ambao unaruhusiwa wewe kupiga simu, usije ukavunja yako.... Najua utasingizia ooh, nataka kukununulia gari... :nerd:
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…