Sio dhambi pia kumjua mwenye gari halisi kwa mteja aliye serious,shida itakuja iwapo wanaotafuta kumjua mwenye gari halisi ni madalali.
Btw waweza kupaka rangi picha hata kwa kutumia paint app,ingawa application yoyote inayotumika kuedit picha yaweza fanya hivyo pia.