Toyota Premio inauzwa

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,943
Reaction score
808
Gari aina ya TOYOTA PREMIO inauzwa,iko kwenye hali nzuri sana inatembea,engine ni 3s,bei ni 6.5m negotiable,if ur interest just pm me.
 
Gari aina ya TOYOTA PREMIO inauzwa,iko kwenye hali nzuri sana inatembea,engine ni 3s,bei ni 6.5m negotiable,if ur interest just pm me.

mkuu tuwekee japao picha, imetembea km ngap, cc ngapi na ya mwaka gani
 
Hivi hawa watu wanaotangaza biashara ya magari hawajifunzi?
 
mkuu tuwekee japao picha, imetembea km ngap, cc ngapi na ya mwaka gani

Natumia cellphone mkuu nikijaribu kuupload picha zinakataa lakini nitaweka picha soon.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…