TOYOTA PREMIO 2004 Vs TOYOTA ALLION 2004

Forecaster

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
220
Reaction score
149
Wakuu naomba mnijuze kwa walio na uzoefu ni ipi gari nzuri hasa katika comfortability barabarani kati ya Toyota premio na Toyota allion zote za mwaka 2004.
 
Utamu wa pipi ni mate yako. Jaribu mwenyewe uamue.
 
viti vya premio kama mabenchi ya hospitali!!
 
Wakuu naomba mnijuze kwa walio na uzoefu ni ipi gari nzuri hasa katika comfortability barabarani kati ya Toyota premio na Toyota allion zote za mwaka 2004.
Mkuu ni hivi hizo zote ni gari moja ni majina tu!
 
Zote engine moja tofauti n body n ndani, ila nunua vvti engine c vvtid4 engine
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…