Tena na bodi limenyooshwa, inaonekana iliwahi kula mzinga. Labda auze kwa 5m, ila pia spare za prado ni balaa, yaani ilivyo hiyo ukitaka irudi kwenye hali yake nzuri unaweza kupata ki baby walker toka japan
Hii gari yako iko vizuri sana na itabidi niangalie mitego yangu ya wiki hii ikikaa poa nitakuuliza vitu vingine vya ziada. LAKINI UJAMTENDEA HAKI JAMAA HAPO JUU.