Hili tangazo halijajitosheleza kiongozi. Weka taarifa kamili za gari kama Engine capacity, Mileage, Mwaka wa kutengenezwa, imeingia lini hapa, ina deni lolote na zaidi sana weka BEI. Pia, ukitupia picha za ndani ya gari sio vibaya.
#Biggs kwanza nilikuwa busy kwa siku mbili hizi. Na JF haikuwa active sana kuweza kuwapa feedback. Some of the details ni hizi hapa
Mwaka 2006
CC 3400
Millage 113,000 /-
Bei 41,000,000 (bargainable kiduchu)
Wapo walionipigia simu. Bado hawajarudi kunipa feedback. Nakaribisha maswali ya udadisi zaidi. Njoo na fundi wako unayemuamini ni mzuri aje aikague, endapo utakuwa na mashaka.
Kama unataka picha zaidi nitumie namba yako ya WhatsApp. Naona JF kama vile sheria zao ni ngumu. Maana nilipoweka hili tangazo ni kama nilipigwa ban kimtindo. Hesitate not to call, inquire or else speculate. Ukitaka kuona gari nipigie nikuelekeze uje uione, utest na kujiridhisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.