Gariexpress
Member
- Feb 23, 2015
- 44
- 11
acha ulanguzi wewe yani kiji passo ndo m8 na verossa ziuzwe ngapi tzs
Pamoja na hayo ...je hiyo ndy bei stahiki kwa passo ???Verossa unajua bei yake au unaongea tu ??
chukua 5m mkuu
Hiyo nane si ndio bei yake ya dukani au vipi?
tatizo ameanzia juu Sana at least angesema 7.5 afu negotiableNa jamaa amesema price is negotiable !!! Inamaanisha bei inapungua kama upo serious !!!
Naona tatizo kingereza hujui !!! Unajua maana ya price is negotiable ????