dip pub
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 389
- 74
manufacture year 2001 engine capacity 1990 milage 111998 km engine 3S bei ni milioni 12.5 mzigo mpya toka japani mawasiliano #0714358610
Asante Malimba,ubarikiwe.Mwanza noah hubeba abiria kwa mwendo mfupi mfano. Kutoka sengerema mpaka kivuko cha busisi km 27 hv nauli 2000
Duh,aiseehapo traffic hakuna.Wanakaa zaidi ya kumi ila kistaarabu kumi wanakaa vizur mbele wa2 na viti vya nyuma 8 kwa maana ya kila mstar 4 ila kwenye shida ya usafir viti vya nyuma upande wa kuegemea unalazwa na wengine wanakaa wakiangalia nyuma! Pia mbele wanaweza kukaa abilia wa3 kukamilisha 15 inshawah kufanya hyo kaz kk.
Aisee kumbe Biashara nzuri,ngoja nijipange.Trafik anapewa dasi (5000) kila baada ya siku 2 au tatu kutegemea na hali wkt huo hesabu ya boss inategemea na makubaliano wastan 40000 kwa siku pengine inaweza kupanda au kupungua kulingana na hali ya biashara wkt wa mvua abiria huwa wa shida lkn mvua zikiisha mambo safi.
Dip pub kula 9m jtano uletewemanufacture year 2001 engine capacity 1990 milage 111998 km engine 3S bei ni milioni 12.5 mzigo mpya toka japani mawasiliano #0714358610
Duh,kweli mkuu nakubali uelewa wako.Kuna route zenye pesa kuliko hiyo mf. Sengerema- kamanga km 35 rough road nauli 3000 na hiace panki inabeba hadi abiria 22 pia kuna sengerema-geita km 56 nauli 3000 lami hice zinakimbilia huko 7bu ya pandisha shusha af rough road kuna hela sana sema noah hazihimili pia noah inachukua muda kidogo kujaa abiria 7 inaweza kuondoka wengine ikaokota njian
Kuna route kama sengerema-busisi na sengerema-geita hiz ni lami mwamwi
Hapa pia naomba waje wataalam wa kuzichambua hizi Noah kwa faida ya sie watumiaji.
Maana kuna
Liteace
Townace
Tourer
Nk
Zipi zenye kustahimili shurba ya kazi ngum na rafiki wa mafuta