ZA asubuhi wakuu . kama kichwa kinavyo onekana hapo juu. TOYOTA NOAH Super Extra inauzwa . kwa hapa bongo imetembea miaka 2. Gari ipo DAR na haina tatizo lolote. Nimeshidwa kiweka picha. BEI NI TSH 9.5 MILIONI ILA MAELEWANO. Gari ni namba CD.......! KWA picha unaweza kukutumia kwa namba 071968776