Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
Picha tafadhali..Imetembea KM ngapi?
70,000 Km.
Siajzipata bado nikipata nitaziweka Gari lipo Ilala!
Auto kakamanual ama auto as usual?
Kibanga mwangu peleka karatu wanazihitaji sana.
litakuwa limetokea hukohuko
Hahaha kaka hii imekuja kwa MELI, Karatu hakuna MELI.
Mi Mwislamu Bwana,
Mambo ya Kufuga Kitimoto wapi na wapi?