chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,882 Reaction score 29,664 Jul 19, 2014 #1 Habari wakuu Gari tajwa hapo Juu inahitajika,. Iwe katika hali nzuri Isiwe imepata ajali au matatizo yoyote Namba za usajili zianze na C,... Offer yangu Milioni 7 Karibu.
Habari wakuu Gari tajwa hapo Juu inahitajika,. Iwe katika hali nzuri Isiwe imepata ajali au matatizo yoyote Namba za usajili zianze na C,... Offer yangu Milioni 7 Karibu.
S Shakir JF-Expert Member Joined Jul 31, 2012 Posts 1,762 Reaction score 2,205 Jul 19, 2014 #2 chakii said: Habari wakuu Gari tajwa hapo Juu inahitajika,. Iwe katika hali nzuri Isiwe imepata ajali au matatizo yoyote Namba za usajili zianze na C,... Offer yangu Milioni 7 Karibu. Click to expand... Ongeza 2 nikupe kitu cha uhakika, namba CK...
chakii said: Habari wakuu Gari tajwa hapo Juu inahitajika,. Iwe katika hali nzuri Isiwe imepata ajali au matatizo yoyote Namba za usajili zianze na C,... Offer yangu Milioni 7 Karibu. Click to expand... Ongeza 2 nikupe kitu cha uhakika, namba CK...
Lyatuu the Great JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 212 Reaction score 85 Jul 19, 2014 #3 Angalia kwenye mtandao wa www. zoomtanzania.com utazikuta nyingi tu ila price uliyoisema mnazungumza na muuzaji na unaweza kupata kwa price hiyo uliyoisema.
Angalia kwenye mtandao wa www. zoomtanzania.com utazikuta nyingi tu ila price uliyoisema mnazungumza na muuzaji na unaweza kupata kwa price hiyo uliyoisema.
Erick kg JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 314 Reaction score 73 Jul 19, 2014 #4 Mil 8.5 check kwa 0717022737 Attachments 1405709361039.jpg 70.8 KB · Views: 149 1405709422268.jpg 72.1 KB · Views: 122
samilakadunda JF-Expert Member Joined Oct 13, 2011 Posts 1,780 Reaction score 360 Jul 20, 2014 #5 dah mimi bado najikusanya ila nimeipenda sana, i wish mwezi wa 9 nitachukua hiyo gari bajeti mil 8 cash
dah mimi bado najikusanya ila nimeipenda sana, i wish mwezi wa 9 nitachukua hiyo gari bajeti mil 8 cash
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,058 Reaction score 2,160 Jul 20, 2014 #6 Unataka new model au old?kwa hyo bei na herufi ianzie c!WAWEZA ANGAIKA SANA.