Wanajamvi,
Iko sokoni - Toyota Nadia iko katika hali nzuri kabisa.
Registered,full duty paid, mileage < 100,000, automatic transmission, sports rims
Bei poa kabisa Tsh 11 mn . Serious buyers please call +255 776 670262.
Naomba kuuliza mkuu, hizi Nadia ndio zina 4D Engine au?
Naomba kujulishwa tafadhali
mkuu hapo ipo show room au ndio kazi zako, coz naiona kama haijatumika bongo!
Imetembea miezi minane Bongo, covered 14,000 kms in Dar.
WTF, jamani mbona hivyo...Jamaa kaweka data zote (description)....picha, Kms, duty, transmission, time in tz, hata na cmu yake...sasa hapo mnataka nini....if umevutiwa mpigie cmu uone mwenyewe gari...
Sometime mnazidi na nyie...khaaaaaa :mod:
Umeulizwa Kama unazijuaaaaa??????loh....!!Weka picha kama inavyoonekana sasa sio lazima upigie nyumbani kwako, NADIA tunazijua sana.
Weka picha kama inavyoonekana sasa sio lazima upigie nyumbani kwako, NADIA tunazijua sana.
Haijauzika tu?Bei imepunguzwa kutoka 11 mpaka 9.5 mn.
Si umtaje tu, ........hasa shark anapenda kujichomeka chomeka kama mnunuzi vile!