TOYOTA MARK II GX100 1G KAVU.. 3.8ML

TOYOTA MARK II GX100 1G KAVU.. 3.8ML

CHEBEPE

Senior Member
Joined
Sep 3, 2018
Posts
103
Reaction score
62
Mark 2 Gx 100, 1G kavu engine
Engine haijafunguliwa,
Mwaka 1999
9-10km/litre
Full AC
Music with touch screen redio +buster
Clean ndani, hakuna uchakavu ndani
In good condition... Bettry n50 mpya kabisa
Already serviced kwa safari yoyote
Tairi nzima kabisa kwa safari na spea ipo
Bima hai hadi July
Haigongi chini
Vitu vyote vitumiavyo umeme ikiwa pamoja na automatic door rock... Working

KIUFUPI, PAY AND GO!... MVUA HIZI.
reason for selling: Wife inamshinda anataka portable one.
Whasap/Text 0754734009
Gari natembea nayo ila naishi Kimara.. Ukiwa serious nichek uione.
 
Mbona imechoka hivyo?
Matairi kipara, rangi imekwanguka
Yaani hata rimu zina kutu.

We uza skrepa tu
 
Mbona imechoka hivyo?
Matairi kipara, rangi imekwanguka
Yaani hata rimu zina kutu.

We uza skrepa tu
HIZI HAPA NDG, NETWORK ILISUMBUA KU-UPLOAD
IMG_20190510_152849.jpeg
IMG_20190510_153245.jpeg
IMG_20190510_153125.jpeg
IMG_20190510_090007.jpeg
IMG_20190510_152832.jpeg
IMG_20190510_090051.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom