Toyota mark 2 gx110 inauzwa

Kazi kweli,ndio maana nikinunua gari lazima nishauriane na fundi kuliko kuiga.
Matokeo yake kwenye kuuza inakuwa kama hivi
 
Hilo ni jini linakunywa mafuta balaaa
 
Yaani CC 2500! Engine 4 stroke direct injection(d4), 6cylinder! Kudadaadekiiii labda uwe na kisima cha mafutaaa
 
hiii tafuta machalii wa TPA, TAKUKURU, NA HAZINA

SIE WALIMU TUTAFUTIE GLANZA
 
Gari ni nzuri,ila wabongo tumekariri sana,sioni tatizo la cc 2500,Brevis na zenyewe ni CC 2500,D4 ni more powerfull and efficiently kuliko vvti,D4 zinahitaji mafuta masafi hazipendi mafuta yaliyochakachuliwa na pia service on time ni muhimu kwa magari ya D4......Tunatishana ni Jini wakati tofauti na cc 2000 ni ndogo sana yani kama kwa siku unatumia lita 4 kwenda na kurudi kwa gari ya cc 2000 ukiwa na ya cc 2500 inamaanisha utatumia lita 5 ongezeko la lita moja tu,kwahiyo msitishe watu.
 

Kwa hiyo? tununue au?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…