Toyota laver 4 inauzwa

Toyota laver 4 inauzwa

laver 4 sinunui hta siku moja mana hyo filamu hta waingizaji wake hawajafanya vizuri.Natafuta RAV 4 kwa 12m mwenye nayo anipm
 
Nlivyoona Tangazo kitu cha kwanza kuja kichwani kwangu ni MZARAMO......hahahaaa
 
Ngoja tusubiri picha ya hii laver 4 sijui itakuwa ni gari ya aina gani!
 
Haahaa leo nmecheka sna, bila kubahatisha huyu jamaa ni dalali aisee, mana huwez kuwa na gari hujui model yake, any way lets give him a chance yawezekana ni new model tukaumbuka hapa,
 
Kuna thread nyingine unajibu lakini baas. huyu anatuokota mafala tu huyu. Siamini kama amekosea kibahati mbaya au hajui ila tu kaamua kufanya hivyo kimakusudi.

If you fool me and I Know you are fooling me then you are the real fool.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom