kwani nini Mkuu kwani hizo gari za miaka hiyo zipo bei gani na Kodi yake unajua inasoma ngapi ya 2011?Kama in mil. 90 huyu jamaa ajui analoongae!
Unataka pick up ya mwaka ganiWe mzee lete pickup yake
2010Unataka pick up ya mwaka gani
Unadhani ist hyo bosiKama in mil. 90 huyu jamaa ajui analoongae!
Ok tukijaaliwa November ntakua nayo hiyo au toleo la mbele kidogo ntakujulisha nikiwa nayo Tunduma nicheki in box kwa kumbukumbu zaidi...2010